Improve your communication skills by learning one of the biggest language in the world, You get know all aspects of Kiswahili language from speaking to writing all these you will get them here.
Swahili Hub itakupitisha kwenye mada mbalimbali za Kiswahili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Ukurasa wa Kiswahili kwa wenyeji unamuwezesha msomaji, mwanafunzi kuongeza maarifa kisha kuelewa mbinu za kufaulu mitihani ya Kiswahili.
Soma kazi mbalimbali za utafiti na ikisiri zilizoandikwa na wasomi pamoja na wanataaluma wa Kiswahili kutoka vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Soma magazeti yetu ya Mwananchi,Mwanaspoti na Taifaleo. Pia vitabu vitabu vilivyoandikwa na waandishi mahiri hapa nchini na Afrika Mashariki. Ili kujifunza na kupanua maarifa katika lugha ya Kiswahili.
Juma Issihaka, Mwananchi Dar es Salaam. Washindi mbalimbali wamezawadiwa tuzo ya Taifa za Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu zilizoandaliwa na ... Soma zaidi
Gadi Solomon, Mwananchi gsolomon@mwananchi.co.tz Dar es Salaam. Serikali imeagiza kampuni zote zinazozalisha bidhaa hapa nchini kuhakikisha vifungashio vyake vinakuwa na ... Soma zaidi
Gadi Solomon, Mwananchigsolomon@mwananchipapers.co.tz Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tukio la utoaji Tuzo ya Kiswahili ya ... Soma zaidi
Leo ni Desemba 9, siku ambayo Watanzania tunaadhimisha Uhuru wa Tanganyika, nchi ambayo ilipoungana na Zanzibar ikaundwa Tanzania. Imetimia miaka ... Soma zaidi