Improve your communication skills by learning one of the biggest language in the world, You get know all aspects of Kiswahili language from speaking to writing all these you will get them here.
Swahili Hub itakupitisha kwenye mada mbalimbali za Kiswahili kuanzia kidato cha kwanza hadi cha nne. Ukurasa wa Kiswahili kwa wenyeji unamuwezesha msomaji, mwanafunzi kuongeza maarifa kisha kuelewa mbinu za kufaulu mitihani ya Kiswahili.
Soma kazi mbalimbali za utafiti na ikisiri zilizoandikwa na wasomi pamoja na wanataaluma wa Kiswahili kutoka vyuo vikuu mbalimbali hapa nchini Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Soma magazeti yetu ya Mwananchi,Mwanaspoti na Taifaleo. Pia vitabu vitabu vilivyoandikwa na waandishi mahiri hapa nchini na Afrika Mashariki. Ili kujifunza na kupanua maarifa katika lugha ya Kiswahili.
Saddam Sadick, Mwananchi Mbeya. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua kadhaa kuhakikisha inakuza na kuendeleza lugha ya ...