Posted in Hadithi

Muuaji Asakwe-3

Mtunzi ni: Patrick J. Massawe Utangulizi Mwanamke mrembo anauawa ndani ya bafu, nyumbani kwake, eneo la Tabata, Jijini Dar es Salaam. Kwanza kabisa, muuaji huyo katili alimtumia ujumbe wa vitisho muda mfupi tu kabla ya kutekeleza mauaji hayo. Pia, muuaji huyo alimbaka mrembo huyo kabla ya kumuua. Upelelezi wa Jeshi la Polisi, unafanyika mara moja. Msako mkali dhidi ya muuaji huyo unafanyika, na inagundulika siri nzito iliyojificha nyuma ya mapazia kuhusiana na kifo hicho chenye utata. Kama kawaida, mtunzi wako mahiri,  PATRICK J. MASSAWE anatiririka na hadithi hii ya kusisimua.     Fuatilia mpaka mwisho wake… Getruda kwenye sofa lililokuwa pembeni. “Haya…nakaa..” Getruda…

Soma zaidi.. Muuaji Asakwe-3
Posted in Hadithi

MUUAJI ASAKWE- 2

Mtunzi ni: Patrick J. Massawe Utangulizi Mwanamke mrembo anauawa ndani ya bafu, nyumbani kwake, eneo la Tabata, Jijini Dar es Salaam. Kwanza kabisa, muuaji huyo katili alimtumia ujumbe wa vitisho muda mfupi tu kabla ya kutekeleza mauaji hayo. Pia, muuaji huyo alimbaka mrembo huyo kabla ya kumuua. Upelelezi wa Jeshi la Polisi, unafanyika mara moja. Msako mkali dhidi ya muuaji huyo unafanyika, na inagundulika siri nzito iliyojificha nyuma ya mapazia kuhusiana na kifo hicho chenye utata. Kama kawaida, mtunzi wako mahiri,  PATRICK J. MASSAWE anatiririka na hadithi hii ya kusisimua.     Fuatilia mpaka mwisho wake… “Ndiyo, nitahama kumfuata mume.” “Je, ukichumbiwa na…

Soma zaidi.. MUUAJI ASAKWE- 2
Posted in Hadithi

MUUAJI ASAKWE-1

Mtunzi ni: Patrick J. Massawe Utangulizi Mwanamke mrembo anauawa ndani ya bafu, nyumbani kwake, eneo la Tabata, Jijini Dar es Salaam. Kwanza kabisa, muuaji huyo katili alimtumia ujumbe wa vitisho muda mfupi tu kabla ya kutekeleza mauaji hayo. Pia, muuaji huyo alimbaka mrembo huyo kabla ya kumuua. Upelelezi wa Jeshi la Polisi, unafanyika mara moja. Msako mkali dhidi ya muuaji huyo unafanyika, na inagundulika siri nzito iliyojificha nyuma ya mapazia kuhusiana na kifo hicho chenye utata. Kama kawaida, mtunzi wako mahiri,  PATRICK J. MASSAWE anatiririka na hadithi hii ya kusisimua.     Fuatilia mpaka mwisho wake… MCHANA  wa saa sita hivi, John…

Soma zaidi.. MUUAJI ASAKWE-1
Posted in Hadithi

Usasa usasambu

Suala la utandawazi limekuwa ni jambo ambalo hatuwezi kuliepuka katika maisha yetu ya kila siku. Lakini suala hili limekuwa na matokeo hasi kwa watoto wetu wa kike na kupelekea kuwaathiri kimwili na kiakili. Kuingia kwa utandawazi kumewafanya vijana watumie muda wao mwingi kwenye mitandao ya kijamii na intaneti ambako wanajifunza mambo mengi ya hovyo. Utandawazi una faida nyingi katika maendeleo ya binadamu kijamii, kisiasa na hata kiuchumi ila kwa nchi nyingi za ulimwengu wa tatu utandawazi umekuwa ni kaa la moto kwani kila anayejaribu kulishika lazima limuunguze. Kwa kuona hayo yote mwandishi wa tamthiliya hii ameamua kuifungua macho jamii ili…

Soma zaidi.. Usasa usasambu
Posted in Hadithi

Mzimu Katabi

Hapo zamani za kale katika kijiji cha inyonga mkoa wa Katavi palikuwa na familia moja iliyokuwa na baba na mama walioishi kwa mda mrefu bila kupata mtoto. Na ilipotokea mama akabeba mimba basi iliharibika kabla ya wakati wake. Waliteseka sana na tatizo hilo bila kupata msaada wowote. Ndipo alipotokea mzee mmoja anayejulikana kwa jina la Magoye aliyewaeleza kuwa kama wanahitaji msaada waende kwa mzimu Katabi anayepatikana milimani mbali kidogo na kijiji chao kilipo. Baada ya wazazi kupata habari ile kwao ilikuwa habari njema zaidi kesho yake wakaanza safari kuelekea inapopatikana milima hiyo wakiongozana na wazee wa kimila. Safari ilikuwa ndefu…

Soma zaidi.. Mzimu Katabi
Posted in Hadithi

Msemo wa leo

Mungu akikupa kilema hakunyimi mwendo Msemo huu una maana ya kuwa mwanadamu anapopatwa na changamoto au tatizo lolote huwa kuna njia mbadala ya utatuzi wa jambo lake Mungu anakuwa amemuandalia. Kwa kawaida kilema ni mtu anakuwa na kasoro katika mwili wake inaweza kuwa ya kiungo, lakini kuna njia ambayo mtu huitumia kutimiza haja zake na kupata mahitaji yake.

Soma zaidi.. Msemo wa leo