Posted in Hadithi

Mfalme wa Kinanda -2

KWA WASOMAJI WAPYA UTANGULIZI… Simulizi ya “Mfalme wa kinanda” ni simulizi ya kihistoria ambayo inaelezea namna mfumo wa siasa ya vyama vingi ulivyoingia kwenye nchi za kiafrika na kuratibiwa huku ukiua uzalendo wa viongozi wa kiafrika na kuzorotesha uchumi na afya za wananchi. Riwaya hii inaeleza kuwa kabla ya mfumo wa uchaguzi wa viongozi wanasiasa kuingizwa Afrika, nchi za kiafrika zilikuwa na mfumo wake wa kiutawala. Nchi za magharibi zikaanza kuwarubuni wanasiasa wa kiafrika ili waige mfumo wao wa siasa na kuwaahidi kuwapa fedha za msaada kwa ajili ya kufanyia uchaguzi na kutatulia shida zingine. Ndipo na wanasiasa wa nchi…

Soma zaidi.. Mfalme wa Kinanda -2
Posted in Hadithi

Mfalme wa Kinanda-1

Mwandishi Grey Solver UTANGULIZI… Simulizi ya “Mfalme wa kinanda” ni simulizi ya kihistoria ambayo inaelezea namna mfumo wa siasa ya vyama vingi ulivyoingia kwenye nchi za kiafrika na kuratibiwa huku ukiua uzalendo wa viongozi wa kiafrika na kuzorotesha uchumi na afya za wananchi. Riwaya hii inaeleza kuwa kabla ya mfumo wa uchaguzi wa viongozi wanasiasa kuingizwa Afrika, nchi za kiafrika zilikuwa na mfumo wake wa kiutawala. Nchi za magharibi zikaanza kuwarubuni wanasiasa wa kiafrika ili waige mfumo wao wa siasa na kuwaahidi kuwapa fedha za msaada kwa ajili ya kufanyia uchaguzi na kutatulia shida zingine. Ndipo na wanasiasa wa nchi…

Soma zaidi.. Mfalme wa Kinanda-1
Posted in Hadithi

CHANZO NI WEWE

Mwandishi, Ismaily Himu Chanzo ni wewe ni tamthiliya inayozungumzia athari za watoto wa mitaani na changamoto zinazowakumba hasa katika nchi zinazoendelea. Mtunzi ameonesha jinsi jamii nzima inavyohusika kwa namna moja au nyingine kuongezeka kwa watoto hawa pamoja na namna ya kutatua tatizo hili, lengo likiwa ni kuifanya jamii nzima iwajibike katika hili. Tatizo la watoto wa mitaaani limekuwa ni tatizo la kidunia, limekuwa ni tatizo kubwa hasa katika nchi zinazoendelea hasa za bara la Afrika na Asia ambako jamii kubwa ni masikini. Tatizo hili haliwezi kutatuliwa na mtu mmoja mmoja au kikundi fulani cha watu bali kwa jamii nzima kujumuika…

Soma zaidi.. CHANZO NI WEWE
Posted in Hadithi

Ushetani wa Alphonce

MTUNZI NA MWANDISHI Egidius Jack Matungwa   Ndege ya papa, ilizunguka mara tatu, juu ya anga la uwanja wa ndege, wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wa Dar. Hiyo ilikuwa ni ishala ya salamu kwa maelfu ya watu waliojumuika uwanjani hapo, wakimgoja mgeni adhimu, kiongozi wa juu kabisa ulimwenguni, wa dini ya Romani Katoliki, baba mtakatifu papa Carol Peter wa 16.      Ulinzi uliimalishwa. Maofisa wa vyombo vya ulinzi, na wananjeshi wa ngazi tofauti, walisambazwa kila kona ya uwanja, ili kuhakikisha hali ya usalama ni ya kulidhisha.     Viongozi mbalimbali wa dini na serikali, walijumuika kumpokea papa. Watu ambao hawakuweza kufika…

Soma zaidi.. Ushetani wa Alphonce
Posted in Hadithi

Mbio za sakafuni-1

Na Patrick Massawe Utanguliizi: Delilah Maurice Shikonyi, mwanadada mrembo akiwa anaendesha gari lake jioni moja alimgonga kwa bahati mbaya mtembea kwa miguu aliyekuwa anavuka barabara kizembe. Hata hivyo, wakati akiwa katika harakati za kumpa msaada, kundi la wananchi wenye hasira kali lilitokea na kutaka kumwadhibu. Kwa Bahati nzuri akatokea kijana mmoja mwenye misuli iliyojaa na mwenye nguvu aliyefahamika kwa jina la Ben Kanyau ambaye alimwokoa na kuondoka naye katika eneo la tukio na kumuepusha na dhahama ile. Mbele ya safari wanajikuta wakiunganisha uhusiano wa kimapenzi. Lakini kitu ambacho Delilah hakukijua, Ben alikuwa jambazi la kutisha! Anamwingiza katika utata mzito na…

Soma zaidi.. Mbio za sakafuni-1
Posted in Hadithi

Hadithi ya Nyangeche

Na Wilbert Maridadi Eric alianza kutweta kwa kijasho chembamba na kufanikiwa kuongea: “Nyangache … hapa ni nyumbani.  Pia kumbuka heshima na upendo wetu kwa Mungu.” Alitulia. Nilimtazama na kumshika mkono wake wa kulia na kumketisha katika kiti nami niliketi katika kiti kingine.Tulitazamana. Nilianza kuvunja ukimya na kusema: ”Najua nitakufa! Najua nitakufa! …Kifo ni nini? Nilitulia. Eric aliyekuwa ameketi kitini alikurupuka macho yake akanitazama. Maisha ni uchaguzi. Wako wachaguao vyema kama wewe na tupo tuchagua vibaya tukisubiri kifo. Tena kifo cha aibu. Eric. Nilichangua vibaya tangu kuzaliwa kwangu. Kutokana na uchaguzi mbaya, hata marafiki zangu na kikundi kilichopo ni kibaya. Rafiki…

Soma zaidi.. Hadithi ya Nyangeche