Posted in Misemo

MISEMO YA KISWAHILI NA MAANA YAKE

Wahenga ni wazee wenye akili waliotutangulia. Walifikiria na kutunga misemo kwa lengo la kuadabisha, kuonya, kukumbusha wajibu wa kila kundi katika jamii. Ipo misemo ambayo inawagusa vijana, wazee, watu wazima, wanawake, wanaume. Mathalani vifo vya wajawazito vilipokithiri enzi hizo, wahenga walibaini chanzo ni ulaji wa mayai kipindi chote cha mimba na kusababisha mtoto kunenepa sana huko tumboni na kushindwa kupita kwenye njia ya uzazi. Hivyo, wakaanzisha msemo kama, ‘Mama mjamzito akila mayai, mtoto atazaliwa bila nywele’ ili kuzuia ulaji wa kupindukia wa mayai kwa wajawazito. Tupitie misemo hii ya wahenga; 1. Huwezi kusukuma gari bovu ukiwa umekaa ndani yake Hii…

Soma zaidi..