Posted in Nahau

Mungu amemunyooshea kidole

Nahau hii ina maana ya mungu amwemwadhibu.

Soma zaidi..
Posted in Nahau

Kumpa nyama ya ulimi

Nahau hii ina maana ya kumdanganya mtu kwa maneno.

Soma zaidi..
Posted in Nahau

Kucheza Shere

Nahau hii ina maana ya kumdhihaki kwa namna mbalimbali.

Soma zaidi..
Posted in Nahau

Kuvisha kilemba cha ukoka

Nahau hii ina maana ya kumpa mtu sifa ambazo sio zake. Kwa mfano kumwambia mtu yeye ni mrembo sana ambapo kiuhalisia hakuna ukweli wowote.

Soma zaidi..
Posted in Nahau

Kula vumbi

Nahau hii ina maana ya mtu kupitia tabu au changamoto zinazomfanya ahangaike sana kuepukana nazo.

Soma zaidi..
Posted in Nahau

nahau

Kila mlango na funguo yake Nahau hii ina maana ya katika maisha kila jambo linalotokea lina njia yake ya kulifanya likamilike.

Soma zaidi..