Posted in Nahau

Nahau za Kiswahili na Maana zake

Amani Njoka, Swahili Hub Nahau Maana Kumpa mtu ukweli wake                               Kumwambia mtu wazi Sina hali                                                             Sijiwezi/nipo hoiKupiga uvivu                                                     Kukaa tu bila kazi Kupiga kubwa                 …

Soma zaidi.. Nahau za Kiswahili na Maana zake
Posted in Nahau

Nahau za Kiswahili na maana zake

Amani Njoka, Swahili Hub Tunaendelea na kazi yetu ya kukuelemisha na kukuhabarisha kuhusu lugha ya Kiswahili. Hapa chini ni baadhi ya nahau ambazo tunazitumia sana katika mazungumzo ya kila siku na wakati mwingine tunafahamu maana zake au hatufahamu. Achia ngazi: jiuzulu nafasi uliyokuwepo, kata tamaa, acha kazi. Kata maini: umiza kwa maneno, tia hofu, mwambie mtu habari ya kusikitisha au kuhuzunisha. Ingia mkenge: potea njia, nenda mahali ambapo hukuwa takiwa kwenda. Danganyika kwa uongo au ulaghai wa mtu. Kula bata: Fanya starehe, furahia jambo kwa kuburudika. Toka kimasomaso: shinda kwa ajili ya wengi, fanya lililokuwa linasubiriwa. Furahisha. Vunja moyo: katisha…

Soma zaidi.. Nahau za Kiswahili na maana zake
Posted in Nahau

Nahau za Kiswahili na maana zake

Amani Njoka, Swahili Hub Nyama ya ulimi: maneno mazuri, habari nzuri. Unaweza kumpa mtu maneno mazuri ya kufurahisha au kumfariji, huko ni kumpa nyama ya ulimi. Kumbatia chui: kama vile chui alivyomkali ndivyo ambavyo kuna watu wanaweza kuwazoea watu wakali, hawaaminiki, wanafiki, wambea na baadaye wakakuletea madhara. Vilevile unaweza kufanya utani na zaha katika mambo ya hatari kama umeme, moto au maji ya kina kirefu yakakudhuru. Huna kichwa wala miguu:huna umuhimu wowote, faida, mpango, utaratibu. Huna mwelekeo wowote katika maisha au jambo unalolifanya. Mstari wa mbele:kuwa wa kwanza, fanya jambo wa kwanza na ukamilifu. Hamasisha, onesha mfano. Kuwa na moyo:…

Soma zaidi.. Nahau za Kiswahili na maana zake
Posted in Nahau

NAHAU ZA KISWAHILI

Maelezo mafupi yanatakiwa kukushirikisha katika utajiri mkubwa wa lugha ya Kiswahili katika hadithi, misemo methali, nahau, vitendawili na semi mbalimbali.Hakika hizi ni tunu zenye maarifa, hekima na sanaa iliopo katika jamii ya Waswahili. Maudhui yaliyomo humu yanalengo l kutumika nyumbani na shuleni. Wazazi, walezi na pia  walmu wataweza kutumia fursa zao kuwafunza watoto na vijana kwa kuwajengea wezo na umahiri wa kutumia Kiswahili Nahau ni nini? Ni Maneno ya kwaida yenye maana ya uficho ambayo hhaiendani na maana ya kawaida. Kwa maana nyingine nahau ni Maneno ya kawaida ambayo hayana maana ya kawaida. Kwa mfano iko nahau isemayo”kalia kutu kavu.”…

Soma zaidi.. NAHAU ZA KISWAHILI