Jifunze methali za lugha ya Kiswahili na mwalimu wa Swahilihub

 • Kujipalia mkaa, Kujitia matatani
 • Amekuwa mwalimu, Yu msemaji sana 
 • Amemwaga unga, Amefukuzwa kazi
 • Ana ulimu wa upanga, Ana maneno makali 
 • Ameongezwa unga, Amepandishwa cheo
 • Agizia risasi, Piga risasi 
 • Chemsha bongo, Fikiri kwa makini
 • Kumeza [zea] mate, Kutamani 
 • Kumuuma mtu sikio, Kumnong’oneza mtu jambo la siri
 • Kumpa nyama ya ulimi, Kumdanganya mtu kwa maneno matamu
 • Kumchimba mtu, Kumpeleleza mtu siri yake……Itaendelea

Author: Gadi Solomon