
1. Amekula chumvi nyingi=ameishi miaka.
mingi
2. Ana mkono wa birika – mtu mchoyo
3.Ametutupa mkono – amefariki, amekufa
4.Ameaga dunia – amekufa, amefariki
5.Amevaa miwani – amelewa
6.Amepiga kite – amependeza
7.Amepara jiko – kaoa
8.Amefumga pingu za maisha – ameolewa
9.Anawalanda wazazi wake –
kawafanana wazazi wake kwa sura
10. Kawachukua wazazi wake – anafanana
na wazazi wake kwa sura na tabia.
Maoni Mapya