Jifunze vitendawili vya Kiswahili na Mwalimu wa SwahiliHub

 • Ukitaka kufahamu ana mbio, mwonyeshe moto. Kinyong
 • Ukitembea ulimwengu wote utakosa nyayo. Mwamba
 • Ukiukata haukatiki, ukiushika haushikiki. Moshi
 • Ukiwa mbali waweza kumwona Fulani umatini. Tundu LA sindano
 • Ukoo wa liwali hauna haya. Wanyama
 • Ule usile mamoja. Kifo
 • Umempiga sungura akatoa unga. Funds LA mbuyu
 • Unatembea naye wote umjiao atakuona. Bakora
 • Upande wote umjiao atakuona. Kinyonga
 • Ushuru wa njia wKujikwaa Kujikwaa
 • Utahesabu mchana na usiku na hutamaliza kuhesabu. Nywele ….. Itaendelea

Author: Gadi Solomon