Jifunze vitendawili vya lugha ya Kiswahili na mwalimu wa Swahilihub

  • Mfalme wetu hupendwa sana, lakini wakati wa kumwona lazima umtoe nguo zote kwanza, Hindi
  • Mkanda mrefu wafika mpaka pwani, Njia
  • Mke wangu mfupi, lakini huvaa nguo nyingi, Hindi
  • Mlango wa nyumba yangu uko juu, Shimo la mchwa
  • Mlima mkubwa wapandwa kuanzia juu, Sima/Ugali
  • Mlimani sipandi, Maji
  • Mlima umezuia kutazama kwa mjomb, Kisogo
  • Mlima wa kupanda kwa mikono, Mlima
  • wa kwetu hupandwa na mfalme, Nafasi kati ya mdomo na pua ya ngombe
  • Mlima wa mwenyewe hupandwa na mwenyewe, Buibui na utando wake……Itaendelea

Author: Gadi Solomon