
Pesa Zako Zinanuka ni riwaya iliyoandikwa na Ben R. Mtobwa ambayo mwandishi anaivulia jamii miwani na kuitazama kwa makini bila uoga huku akimulika unafiki na ukatili uliofichika katika mioyo ya wengi. ni hadithi kuhusu mapenzi na chuki, uhai na kifo.
Maoni Mapya