KISWAHILI KWA SHULE ZA SEKONDARI (Kidato cha 1 – IV)

1 student

Usuli wa ufundishaji wa somo la Kiswahili

Kama ilivyo kwa ufundishaji wa lugha yoyote, ni muhimu kuzingatia mbinu mbalimbali shirikishi za kufundishia na kujifunzia. Kwa hiyo, somo litakuwa hai na lenye kumwezesha mwanafunzi kujifunza. Pia matumizi ya dhana za kufundishia na kujifunzia ni muhimu ili kujenga kumbukumbu na dhana za kuwavutia wanafunzi katika kujifunza.

Malengo mahususi

  • Kuweza kueleza historia fupi ya ufundishaji wa Kiswahili
  • Kuweza kueleza sababu mabadiliko ya mitalaa
  • Madhumuni ya mabadiliko ya mtalaa mpya wa mwaka 2005.

Mada zenyewe

  1. Historia fupi ya ufundishaji wa Kiswahili.
  2. Kueleza sababu za mabadiliko ya mtalaa.
  3. Kueleza madhumuni ya mtalaa mpya wa 2016

 

Instructor

Free

Leave a Reply