Usuli wa ufundishaji wa somo la Kiswahili
Kama ilivyo kwa ufundishaji wa lugha yoyote, ni muhimu kuzingatia mbinu mbalimbali shirikishi za kufundishia na kujifunzia. Kwa hiyo, somo litakuwa hai na lenye kumwezesha mwanafunzi kujifunza. Pia matumizi ya dhana za kufundishia na kujifunzia ni muhimu ili kujenga kumbukumbu na dhana za kuwavutia wanafunzi katika kujifunza.
Malengo mahususi
- Kuweza kueleza historia fupi ya ufundishaji wa Kiswahili
- Kuweza kueleza sababu mabadiliko ya mitalaa
- Madhumuni ya mabadiliko ya mtalaa mpya wa mwaka 2005.
Mada zenyewe
- Historia fupi ya ufundishaji wa Kiswahili.
- Kueleza sababu za mabadiliko ya mtalaa.
- Kueleza madhumuni ya mtalaa mpya wa 2016
-
Somo La Kwanza
-
Somo La Pili
-
Somo La Tatu
-
HATUA YA NNE
-
NAHAU ZA KISWAHILI
-
VITENDAWILI
-
METHALI
Free