KISWAHILI KWA SHULE ZA SEKONDARI (Kidato cha 1 – IV)

TAFAKURI

1. Je mwalimu unafikiri mambo
yaliyoelezwa kwenye sura hii
amekuongezea ufahamu wa mtalaa
wa Kiswahili? Eleza sababu za jibu
lako.
2. Unafikiri ni muhimu kuwazingatia
wanafunzi wenye mahitaji maalumu
katika kufundisha Kiswahili? Eleza
kwa nini.

Leave a Reply