KISWAHILI KWA SHULE ZA SEKONDARI (Kidato cha 1 – IV)

Utangulizi

Usuli wa ufundishaji wa somo la Kiswahili

Ufundishaji wa somo la Kiswahili ni taaluma
ambapo mwalimu anatakiwa kufanikisha
ufundishaji na ujifunzaji wa somo hilo. Mwalimu
anatarajiwa azingatie matumizi sahihi ya mbinu
mbalimbali za kushirikisha za kufundishia na
kujifunzia.
Malengo mahsusi:
Baada ya kusoma na kuzingatia sura hii utaweza
a) Kueleza historia fupi ya ufundishaji wa somo la
Kiswahili
b)Kueleza mabadiliko ya mtalaa
c)Kueleza madhumuni ya mtalaa mpya kwa
mwaka 2005
Mada: Saa 3

Leave a Reply