ONLINE KISWAHILI COURSES FOR FOREIGNERS

Afya/Health

Ninaumwa- I’m sick
Unaumwa nini? -What hurts you?
Ninaumwa kichwa -I have headache
Ninaharisha -I have diarrhea
Ninaumwa tumbo- I have stomackache
Nina homa- I have fever
Nasikia kizunguzungu -I ‘m dizzy
Ninasikia baridi- I feel cold
Nipeleke hospitali -Take me to the hospital
Usinichome sindano -Don’t give me any shorts
Naomba maji ya kunywa -Please give me water
Pole sana- I’m sorry
Ugua pole- Get well soon

Leave a Reply