Lugha yetu

Bismilah ninaanza,

Kukuomba Rahmani,

Mwenye wingi wa majaza,

Asubuhi na jioni,

Utujalie kukuza,

Lugha yetu ya thamani,

Kiswahili tukithamini,

Kipate yake heshima.

Author: Gadi Solomon