Mfa maji haachi kutapatapa

methali hii ina maana mtu anapopata matatizo hutafuta kila njia ili aweze kujikomboa. Maana hii imetokana na namna mtu anapokuwa katika maji ya kina kirefu na kukaribia kufa maji huangaika kutafuta njia ya kujinasua na kifo hicho.

Author: Gadi Solomon