Mpiga ngumi ukuta huumiza mkono

Na Pelagia Daniel

  1. Isipowasha hunyeza, methali hii ina maana ya damu ni nzito kuliko maji.
  2. Mpiga ngumi ukuta huumiza mkono wake, methali hii hutumiwa kumuonya mtu asishindane na asiyemuweza (mtu mwenye uwezo au nguvu kuliko yeye).
  3. Ng’ombe akivunjika guu hukimbilia zizini, ikiwa mtu ameondoka (nyumbani au nchini) kwao au amejitenga na jamaa zake kwa wema au uovu, huko alipokwenda mambo yakaharibika lazima arudi nyumbani.

Author: Gadi Solomon