Msemo wa leo

Mungu akikupa kilema hakunyimi mwendo

Msemo huu una maana ya kuwa mwanadamu anapopatwa na changamoto au tatizo lolote huwa kuna njia mbadala ya utatuzi wa jambo lake Mungu anakuwa amemuandalia. Kwa kawaida kilema ni mtu anakuwa na kasoro katika mwili wake inaweza kuwa ya kiungo, lakini kuna njia ambayo mtu huitumia kutimiza haja zake na kupata mahitaji yake.

Author: Gadi Solomon