msemo wa leo

Mwili haujengwi kwa matofali

Msemo huu una maana ya kuwa ili binadamu aweze kuwa na mwili imara na wenye afya anatakiwa ale chakula vizuri. Na chakula kiwe cha kutosha kinachoweza kuufanya mwili kukua na kuimarika. Watu wengi huwa wanautumia msemo huu pale wanapokutana na watu wakiwasema wanakula sana hivyo hudai mwili unajengwa kwa chakula na si matofali.

Author: Gadi Solomon