
Na Pelagia Daniel
- Mwenye dada hakosi shemeji, methali hii hutumiwa kuonyesha kwamba mtu mwenye kitu ambacho wengine wanakihitaji, hatakosa wa kufaa kukiomba.
- Lililopo ndilo lisemwalo, jambo kama halipo hakuna atakayelisema kwa sababu litakalosemwa ni lile lililopo tu. Methali hii ina maana ya kila kinachosema ni kile ambacho kipo.
- Liandikwalo halifutiki, methali hii ina maana ya kila kinachoandikwa ni tofauti na unachokisema kwa sababu unachokisema kinaweza futika lakini sio kilichopo kwenye maandishi.
Maoni Mapya