na Pelagia Daniel
1.Kwa udi na uvumba= Tekeleza jambo kwa namna yoyote ile iwezekanavyo
2.Piga jeki= Toa msaada kwa mtu hasa pale anapokuwa amekwama (kibiashara au kifedha).
13.Tumbo moto= Hofu, wasiwasi
14.Tupa karata = bahatisha,
15.Piga kitabu= soma sana, soma kwa bidi
16.Vua macho= Tazama kwa makini, sehemu/mahali
17. Vunja mbavu= Chekesha sana
18. Vuta pumzi= Pata mapumziko
19. Weka uzibe= Zuia jambo nyima mtu
20. Zunguka mbuyu= Toa rushwa/pita mlango wa nyuma.
Maoni Mapya