na Pelagia Daniel
1.Usiwe bwanyenye = Usichume kwa vitega uchumi vyake.
2. Usiwe na mirija = Usinyonye wenzako
3.Utawala msonga= Utawala wa wachache
4.Usiwe nyang’au = Nchi moja kuifanyia nyingine ubaya na udhulumati.
5.Usiwe kikaragosi = Nchi kuwa kibaraka wa nchi kubwa.
6.Usiwe chui katika ngozi ya kondoo=Kujifanya rafiki kumbe ni adui
7.Kutoa ya mwaka =Kufanya jambo zuri na la pekee
8.Kumpa mtu ukweli wake = Kumwambia mtu wazi ubaya wake.
9.Pua kukaribiana kushikana na uso =Kukunja uso kwa hasira
10.Kusema kutoka moyono=Kunena kilicho kweli
Maoni Mapya