Nahau

1.Maneno ya uwani = Maneno yasiyo na
      maana au porojo
2.Mate ya fisi = Tamaa kupita kiasi
3.Kata tamaa = Vunjika moyo kutokuwa
      na hamu ya jambo fulani.
4. Mbiu ya mgambo = Tangazo
5.Mungu amemnyooshea kidole = Mungu amemuadhibu
6.Mkubwa jalala = Kila  lawama hutupwa kwa mkubwa
7.Mkaa jikoni= Mvivu wa kutembea
8.Mungu si Athumani= Mungu hapendelei
9.Paka mafuta kwa mgongo wa chupa = Danganya
10.Usiwe kabaila  = Usichume tokana na jasho la mwingine
11.Usiwe kupe = Fanya kazi

Author: Gadi Solomon