na Pelagia Daniel
1.Mate ya fisi = Tamaa kupita kiasi
2.Kata tamaa = Vunjika moyo kutokuwa
na hamu ya jambo fulani.
3. Mbiu ya mgambo = Tangazo
4.Mungu amemnyooshea kidole = Mungu amemuadhibu
5.Mkubwa jalala = Kila lawama hutupwa kwa mkubwa
6.Mkaa jikoni= Mvivu wa kutembea
7.Mungu si Athumani= Mungu hapendelei
8.Paka mafuta kwa mgongo wa chupa = Danganya
9.Usiwe kabaila = Usichume tokana na jasho la mwingine
10.Usiwe kupe = Fanya kazi
Maoni Mapya