
Na Pelagia Daniel
- Ola wendako kabla hujafika, methali hii ina maana ya mtu anapotaka kufanya jambo anatakiwa afikirie mwisho wake utakuwaje kabla hajalifanya, ili ajue kama baya au zile.
- Omba omba huleta unyonge, methali hii inatufunza kuto ombaomba bila shaka yule unayemwomba akakupa, atakumiliki.
- Neno jiwi ni kidonda cha moyo, methali hii inatufunza kutoongea maneno machafu kwa sababu yatajenga chuki kwa yule aliyeambiwa.
Maoni Mapya