Ongeza maarifa na methali hizi 10 za Kiswahili

  1. Adui huletwa na kisasi
  2. Afadhali ndoa mbaya kuliko ujane mwema
  3. Aibu si kitendo, aibu ni masimulizi
  4. Ajaye haulizwi nani, mwache afike
  5. Ajizi nyumba ya njaa
  6. Akili haba na madaraka makubwa msiba
  7. Akili razini ni afya mwilini
  8. Akuitaye kajaza ukikawia hupunguza
  9. Aliye na umbu, hakosi mwamu
  10. Angenda juu kiboko, makazi yake majini

Author: Gadi Solomon