Vitendawili

1.              Anatoka kutembea, anakuja nyumbani anamwambia mama, ‘Nieleke’. Kitanda
2.              Ashona mikeka wala hailali. Maboga
3.              Askari wangu wote wamevaa kofia upande. Majani
4.              Askari wangu wote wamevaa mavazi meusi. Chunguchungu
5.              Asubuhi atembea kwa miguu mine, adhuhuri kwa miwili. Fedha
6.              Atapanya mbegu nyingi sana lakini hazioti. Mvua
7.              Atolewapo nje hufa. Samaki
8.           Baba alinipa mfupa, nikautunza ukawa fahali. Muwa
9.           Baba ameweka mkuki nje nikashindwa kuukwea, mdogo wangu akaukwea. Sisimizi
10.           Babako akojoapo hunung’unika. Mawingu
11.           Babu amefunga ushanga shingoni. Mtama/Nazi
12.           Babu anakula ng’ombe, analea fupa linakuwa ng’ombe. Muwa

Author: Gadi Solomon