Wapiganapo tembo wawili ziumiazo ni nyasi

Maana ya methali hii ni ugomvi unaotokea kati ya pande mbili zenye nguvu au mabavu zaweza kuwa nchi au viongozi wakubwa. Wanaopata tabu huwa ni watu wa hali ya chini ambao wanawategemea watu hao kwa mahitaji muhimu kama chakula.

Author: Gadi Solomon