wapishi wengi huharibu mchuzi

Methali hii ina maana ya kuwa kazi au jambo moja likifanywa na kila mtu ambaye anaujuaji wake kwa namna moja ama nyingine huharibu kazi hiyo.

Author: Gadi Solomon